Popular Posts
-
FUNDI CHEREHANI KIJAKAZI WA KIUME Sehemu Ya 71....(.29.) MWISHO Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Ilipoishia J...
-
JAMANI ANKO Sehemu Ya 1 MTUNZI: George Iron Mosenya SIMU:0655727325 Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze k...
-
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 12 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-57109...
Categories
Showing posts with label CHOMBEZO. Show all posts

Sunday, May 13, 2018
Tuesday, February 13, 2018
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 12
11
SEKRETARI WA KIUME
Sehemu Ya 12
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
Ilipoishia Jana...........
MWANAUME MASHINE
"kwani kuna nini manangu"
"mpigie sasa hivi utampoteza mwanao yupo kwenye hatari"
Aliongea nailah tena alikuwa akilia sana, yaani roho inamuuma na anajuta kumfukuza kazi... Mana kaja kuingia pabaya...
"sawa hebu kata simu"
Sasa mama JAFARI nae presha kwa kuskia mtoto wake yupo kwenye hatari....
"boy, njoo uchukue palipo yako"
Shantel alimuita jafari kule kwenye gari,... Madam nailah haamini kama jafari anaingia kwenye gari, sasa madam anajua kuwa jafari ndio anaingia wanaondoka.... Nailah alishuka kwenye gari ili kwenda kumzuia jafari asiondoke... Lakini sasa ile anavuka tu barabara,.. Ghafla kuna gari iliachiwa huko na spidi kali,.na madam alikuwa anavuka barabara, Maskini madam alibaki tu kuduaa hapo barabarani, kukimbia kashindwa, kabaki kusimama katikati ya barabara.... Iliskika tu sauti ya kilio
"uuuuuuwiiiiiiiiiii"
ENDELEA......
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 11
11
SEKRETARI WA KIUME
Sehemu Ya 11
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
Ilipoishia Jana...........
MWANAUME MASHINE
"ooohhh yeee, hhhooo my god... Yes baby... Hhhh... Uuuuuuuuuwiiiiiiii... Yesuuuu... Iiii... Aaaiiiiiiii"
Jafari alishtuka kuskia hizo sauti... Na alikua ni madam ndio kazitoa sauti hizo... Sasa Jafari yeye hajui kiwa madam aliskia hizo sauti jana alipopiga simu, ikajipokea wenyewe..
Saaa hata Jafari anashangaa sauti hizo Veep... Sasa Jafari kwa wenge akajikuta anasalimia, salamu ambayo madam haitaki
"heeeeeee Shikamoo madam"
"kamsalimie mama ako kama hio salamu inashibisha....... Yaani unaacha kazi yangu Unakwenda kufanya... Kufa... Kufa...kufanya....kufanya mapenzi.... Hivi unajua umeitia kampuni hasara kiasi gani kwa masaa yako mawili ulio ondoka hapa... Kwa ulivyo masikini huezi lipa milioni kumi wewe.... Sasa kuanzia leo, sitaki kuiona sura yako hapa... Mlango ulio ingilia naomba uutumie na kutoka..... Nafumba macho nikifumbua nisikuone hapa"
ENDELEA........
Sunday, February 11, 2018
MUUZA CHIPSI Sehemu Ya 1
11
MUUZA CHIPSI
(MKE WA KAKA)
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
INAPOANZIA RASMIIII
Jamani Simulizi hii, sio moja, bali zipo simulizi mbili ndani ya moja... Kuna simulizi yangu moja iliitwa MKE WA KAKA hio simulizi inaendana na simulizi hii ya MUUZA CHIPSI, hivyo sikutaka simulizi zangu ziwe zinajirudia, hivyo nimeiweka sehemu moja zote mbili, mana stori za simulizi hizi zinaenda.. Hivyo ukisoma jua kua unasoma simulizi mbili ndani ya moja... Ila simulizi halisi ni MUUZA CHIPSI ikifuatiwa na MKE WA KAKA ambayo nayo ipo humu humu ndani,. Na utaijua hapo itakapoanzia rasmi lakini mwanzo wa zote ndio, lakini pia MKE WA KAKA ina mwanzo wake huko mbele, hivyo nayo inaanzia hapa hapa....... Sasa ole wako uikose staki maswali mengi mana umekosa uhondo mwenyewe... Hivyo msije mkashangaa mke wa kaka kawa MUUZA CHIPSI....

Friday, December 1, 2017
YOUNG PASTOR Sehemu Ya 1
11
YOUNG PASTOR
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
Ilipoishia Jana →↓↓↓
MCHUNGAJI MCHANGA
NDUGU WASOMAJI WA SIMULIZI ZANGU,... KWANZA NILIANZA NA SIMULIZI YA KIISLAMU IITWAYO THE ISLAMIC WIFE (MKE MWISLAMU)... HIO INA IMANI YA DINI NDANI YAKE... HAPA KATIKATI NIKAANDIKA SIMULIZI IITWAYO NYAMA YA MAMA HIO INA IMANI YA KISHETANI... SASA LEO NALETA YOUNG PASTOR (MCHUNGAJI MCHANGA)... HII ITAKUWA NA IMANI YA DINI KAMA JINSI INAVYOJIELEZEA.... LENGO LANGU NI KUTOBAGUA SIMULIZI ZANGU ZIZIDI UPANDE FULANI... BALI ZITAKUWA PAMDE ZOTE... KAMA SIMULIZI ZANGU SIO NZURI MTANISAMEHE KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE.... NA KWENYE SIMULIZI HII KAMA KUNA VIPENGELE VIMEKOSEWA BASI TUSAMEHEANE MANA SIO UPANDE WAMGU..... AFU PIA NINGEOMBA KWAMBA KILA KINACHOANDIKWA HAPA USIKIWEKE KICHWANI... MANA HII NI HADITHI TU, HIVYO AIO KILA NENO NI KWELI... HIVYO TUSIJE TUKA PANIKI, HII NI HADITHI TU... KAMA ZILIVYO HADITHI NYINGINE.... MTANIWIA RADHI WADAU WANGU....
SASA TUANZE RASMI SIMULIZI YETU HII YA MCHUNGAJI MCHANGA

MKE JEURI Sehemu Ya 1
11
MKE JEURI
(The Wife's Tyrant)
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
Ilipoishia Jana →↓↓↓↓â†
"we pumbavu wewe, nani mkeo... Yaani mimi ni mkeo mimi"
Heeeee kumbe chidi alikuwa anaota
"mamy,.. Mke wangu yupo wapi"
"we mtoto ushakuwa chizi sasa, huyo mke we ulimuokota wapi"
"mama.. Mimi nimeoa eti,.. Afu tukapigwa risasi"
"hebu amka mi nataka niende supamaketi sasa hivi"
"kwaio wataka nikupeleke au"
"hapana... Usije ukaondoka"
Aiseeee kumbe chidi alikuwa anaota, hakuwa na mke wala ndugu yake mke,.. Hakuna cha Mariamu wala Sarah,.. Mara ghafla mdogo wake wa kiume kaingia
"kaka sheby, mpira umeanza twende"
"nani na nani"
"Man U na Arsenal"
"ayaaaaa bonge la game hiloo ngoja naja"
Kijana huyo aliamka na kwenda kuangalia mpira hapo sebuleni kwao, tena walikuwa ni matajiri haswa haswa... Tena haitwi Rashidi.. Anaitwa Sharbiny (Sheby).. Na mdogo wake aitwaye Rajabu...
ENDELEA............

THE ISLAMIC WIFE Sehemu Ya 1
11
THE ISLAMIC WIFE
(Mke Muislamu)
Sehemu Ya 1
Mtunzi... MoonBoy
Simu No, +255714419487 WhatsApp
Inapoanzia Rasmi
NDUGU WASOMAJI WANGU... SIMULIZI HIII... HAITOKUWA NA VIPENGELE VIREFU, KAMA ILIVYO KATIKA SIMULIZI ZINGINE... HII ITAKUWA FUPI FUPI, KUNA SABABU ZILIZOPO NJE YA UWEZO WANGU NA NDIO MAANA IMEKUWA HIVYO..
HAYA TUANZENI RASMI HADITHI, SIMULIZI, STORY... AU VYOVYOTE UTAKAVYO IITA SAWA TU.....

THE DOM Sehemu Ya 1
11
THE DOM
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Instagram....
SON OF PRESIDENT GU
INAPOANZIA RASMI KATIKA SEHEMU YA KWANZA
Simulizi yetu inaazia maeneo ya airport, tukiwa tunamuona kiongozi mkubwa akiandaliwa sehemu ya kukaa kana kwamba kuna mheshimiwa mwenzake aliokuwa akimsubiri eneo hilo, yaani kaja kwa mapokezi zaidi, lakini mapokezi hayo hayakuwa rasmi yaani nchi haina taarifa kuwa raisi kaenda Airport kwa mapokezi ya mgeni fulani, mana kila kiongozi wa nchi anapotoka basi nchi inapaswa kuwa na taarifa sahihi juu ya safari yake, lakini hapo tunamuona yeye na walinzi wake pamoja na makamu wake bila kusahau waziri mkuu na watu wachache sana ambao sio wa kujulikana sana katika nchi,... Kwa mbaaali rais alisema huku akinyoosha kidole
"ndege toka korea Kusini hiooo"

Wednesday, November 29, 2017
MWIGIZAJI BALAYA Sehemu Ya 1
11
MWIGIZAJI BALAYA
{The Prostitute Actor}
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓↓↓â†
Sasa siku hio ilikua ni siku ya kikao cha usiku, baina ya watu wote.. Yaani familia nzima na alioitisha mkutano huo ni dada batuli kana kwamba ndio anataka kuliongelea lile swala la mimi kwenda Dar es Salaam...
Na mimi nilikuepo kwa pembeni nimewategea tu skio langu,...
"ndugu wazazi wangu wapendwa... Leo nimewaita hapa nina ombi moja kwenu japo sio la muhimu sana jwenu.... Aahhh kama mnavyojua kazi zangu mimi ni uigizaji, na katika tasnia yetu hua hatuweki mtu ilimladi mtu bali tunaangalia kipaji cha mtu ili aweze kukava ile nafasi husika, na nimeona kuna nafasi sheby anaiweza...."

FUNDI CHEREHANI Sehemu Ya 1
11
FUNDI CHEREHANI
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓
JAMANI NDUGU WASOMAJI WA STORY ZANGU,.... STORY HII YA FUNDI CHEREHANI, NI STORY ILIYO TOKANA NA STORY ILIOPITA... IITWAYO SECONDARY SCHOOL NA NADHALI HILO CHOMBEZO WENGI MLILISOMA VIZURI NA PIA NATUMAINI MTAKUA MUMELIMALIZA MPAKA MWISHO.....
ILA KWA WEWE AMBAE HUKUISOMA SECONDARY SCHOOL, BASI NAKUAMBIA KUA HILI CHOMBEZO LA FUNDI CHEREHANI HUTOLIELEWA KABISA, MAANA MAUDHUI YOTE YALIOPO HUMU YAMETOKANA NA HIO STORY AU CHOMBEZO LA SECONDARY SCHOOL.... HIVYO KWA USHAURI WANGU KWAKO NINGEONBA UKAIANZE KUISOMA HIO KISHA UJE KUISOMA NA HII... MAANA NI SAWA NA KUANGALIA MUVI PART 2 WAKATI PART ONE HUJAIONA.....

ONE DAY YES Sehemu Ya 1
11
ONE DAY YES
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Inapoanziaaaa→↓↓↓
ONE DAY YES ni msemo unaotafsiriwa kua IPO SIKU YATAKWISHA kwa maaa ya kwamba mtu huyo anaesema hivyo yupo katika hali ngumu ya kimaisha au misuko suko ya hapa na pale.
Msemo huo ni msemo unaotaamkwa na mtu mwenye shida ya kimaisha hivyo kila siku lazima mtu huyo aseme ONE DAY YES kwa maana ya kwamba IPO SIKU NA YEYE ATATUSUA kama wenzake,

Monday, November 27, 2017
DEREVA TOYO Sehemu Ya 1
11
DEREVA TOYO
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No.... +255714419487 WhatsApp
Inapoanzia Rasmi..... Anza Sasa
DEREVA TOYO AU KWA KINGEREZA TUNAITA ( TOYO DRIVER )
DEREVA TOYO HUYU NI KIJANA MDOGO ALIEJIAJIRI KUTOKANA NA USAFIRI HUO ( TOYO ) MBALI NA UDEREVA WA HIO TOYO... BADO ANA AJIRA YAKE YA MKONONI..... NI AJIRA YA UPIGAJI PICHA... NA HII ALIANZA NAYO KABLA YA TOYO KIJANA HUYU ALILAZIMIKA KUWA DEREVA TOYO KWA SABABU ZA KIMAISHA KUMUENDEA KOMBO... HIVYO AKAONA TOYO HUENDA IKAMPA CHAKULA CHA KILA SIKU... LAKINI TOYO HIO HIO NDIO ILIOKUA IKIMPELEKA PABAYA.... KWANI KIJANA HUYO ALIKUA NI KIJANA WA TOFAUTI SANA..,..

MLINZI WA GETI Sehemu Ya 1
11
MLINZI WA GETI
Sehemu Ya 1
Mtunzi.... MoonBoy
Simu No... +255714419487 WhatsApp
Ilikua ni saa 5 asubu tarehe 11/2/1995 nikiwa bado ni mtoto mdogo nisiojua hili wala lile, Nilikua na umri uiozidi miaka mitatu hivi, na siku hio nilikua natoka shuleni yaani Nursary school ( shule za awali) ( vidudu ) Siku hio nilikua na hasira sana maana mwalimu aliniadhibu kwa kukosa somo lake. Sasa nikiwa njiani narudi nyumbani nilikutana na gari ya baba angu tena akiwa spidi sana. Nami siku hio nilikua na kabaiskeli kadogo ( vile vya kitoto ) nilishtukia breki ikishikwa mbele yangu
"twende haraka"
aliniambia kwa sauti kubwa tena kwa kuyatoa macho kwa kuonyesha siku hio hayupo vizuri kuliko siku zote.

Sunday, November 26, 2017
JAMANI ANKO Sehemu Ya 1
11
JAMANI ANKO
Sehemu Ya 1
MTUNZI: George Iron Mosenya
SIMU:0655727325
Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi.
Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea.
Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima nimweleze ukweli na ikibidi siku hiyo hiyo yatimie ninayoyawaza kila kukicha.
Madam Jesca alikuwa ni mwalimu aliyekuwa akitufundisha kwa muda tu baada ya kuwa amemaliza kidato cha sita. Wakati huo sisi tulikuwa kidato cha nne.
Somo alilokuwa akitufundisha ni Kiswahili.

Subscribe to:
Posts (Atom)
Post
-
JAMANI ANKO Sehemu Ya 1 MTUNZI: George Iron Mosenya SIMU:0655727325 Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze k...
-
FUNDI CHEREHANI KIJAKAZI WA KIUME Sehemu Ya 71....(.29.) MWISHO Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Ilipoishia J...
-
MLINZI WA GETI Sehemu Ya 1 Mtunzi.... MoonBoy Simu No... +255714419487 WhatsApp Ilikua ni saa 5 asubu tarehe 11/2/1995 nikiwa bado...
-
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 12 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-57109...
-
MUUZA CHIPSI (MKE WA KAKA) Sehemu Ya 1 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246...
-
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 11 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-57109...
-
KIJAKAZI WA KIUME 1 sehemu ya 1 MTUNZI: MoonBoy SIMU +255714419487 whatsapp
-
MKE JEURI (The Wife's Tyrant) Sehemu Ya 1 Mtunzi..... MoonBoy Simu No +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media...
-
FUNDI CHEREHANI Sehemu Ya 1 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Ilipoishia Jana →↓↓ JAMANI NDUGU WASOMAJI...