Monday, May 21, 2018

CHIPSI NI HATARI KWA AFYA YAKO WEWE MWANADAMU



CHIPSI NI HATARI KWA AFYA YAKO

UTAFITI..... 



Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa figo, moyo, shinikizo la damu kisukari na saratani za aina zote. 

Imeeleza kuwa sahani moja ya chips kavu huwa na mafuta yanayokaribia nusu kikombe cha chai ambayo ni sawa na ujazo wa milimita 250.Hayo yalisemwa na Mtaalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Ulumbi Kilimba alipokua akizungumza na gazeti la Mtanzania ambapo alisema walaji wengiwa chipsi wako kwenye hatari ya kutengeneza sumu kwenye miili yao bila kujijua.


Alisema jambo la kusikitisha ni kwamba wafanyabiashara wengi wamekuwa hawazingatii umuhimu wa kutumia mafuta mara moja katika kukaanga vitu hivyo.Utafiti wa Marekani nao pia umeeleza kwamba ulaji wa mara kwa mara wa chips unaweza kuongeza uwezekano wa mwanamke kuwa katikahatari ya kupata maradhi ya kisukari wakati wa ujauzito. Sababu ya wanga ulio katika viazi unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya sukari zaidi, wanasema utafiti wao ulihusisha wanawake wajawazito zaidi ya 21,000.

Na ni hatari zaidi kwa wanaume, kwani wapo wanaume hushindia ama kulalia sahani ya chips kila siku,.. Hapo unatafuta gonjwa la upungufu wa nguvu za kiume, afu baadae unaanza kutafuta mizizu.... Pumbavu zako... Acha kula chipsi kila siku.. Kula angalau kwa Mwezi mara mbili au tatu... Punguza uzungu mwanaume


USIKOSE MAKALA NYINGINE HAPO KESHO UKIWA NAMI 

Dr Voice Mgosi
+255714419487 WhatsApp 

KAMA WEWE NI MPENZI WA LOVE STORY, MAMBO YA CHOMBEZO ZA HUBA, MAHABA, MKATABA, MARAHABAAAA, NA HAPA NDIO KWAO

UNAPITWAJE NA UTAMU HUU? 

ORODHA YA STORI ZANGU ZOTE HII HAPA, NI BUUURE BONYEZA HAPA

www.moonvisioner.blogspot.in/search/label/CHOMBEZO

(1).KIJAKAZI WA KIUME

(2).MLINZI WA GETI

(3).DEREVA TOYO

(4).MTOTO WA HAYATI

(5).ONE DAY YES

(6).SECONDARY SCHOOL

(7).FUNDI CHEREHANI

(8).MWIGIZAJI BALAYA

(9).THE DOM

(10).THE ISLAMIC WIFE

(11).MKE JEURI

(12).YOUNG PASTOR

(13).MUUZA CHIPSI

HIZO ZOTE, INGIA GOOGLE TAFUTA ULIO IPENDA, AU BONYEZA HAPA CHINI, UKAZISOME ZOTE, BUUURE

www.moonvisioner.blogspot.in/search/label/CHOMBEZO

AU.... Njoo WhatsApp Ujipimie....

Utazipata Zote Mpaka Mwisho Kwa Simu No: +255714419487 WhatsApp, Au, Like Page Yetu Ya Facebook Iitwayo CHOMBEZO MEDIA

tAfBoy {.Tanzania's Frugal Boy..}

Share this

0 Comment to "CHIPSI NI HATARI KWA AFYA YAKO WEWE MWANADAMU "

Post a Comment