KIJAKAZI WA KIUME
Sehemu Ya 71....(.29.) MWISHO
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓↓↓â†
"staki"
"nipo chini ya miguu yako sheby naomba nivue chupi"
Yaani dada yobi analia kabisa kisa nimekataa asiivue hio nguo yake,.. Mwisho nikamuambia aivue mana akilia ndio anazidi kua mzuri mpaka nachanganyikiwa juu yake,... Dada yobi alijaaliwa hipsi na mapaja makubwa kiasikwamba hata chupi yenyewe ilikua ikimshinda kuvua, tena na vile ilivyoloa, aiseee ndio alikua hawezi kabisa... Alijikuta akiniajiri kazi hio nami nikaifanya vyema kabisa, yobi au yobinesh au batuli, alikaa mkao ulionifanya nikione kipapa chake live bila chenga,...
ENDELEA..........
Yaani dada yobi aliumbika mpaka vya ndani ya mwili, Kiukweli ilinishangaza sana, tena vinywele vyake vilikua vimelalaaaaa, kama vya Kiarabu vile tena toto lenyewe jeupeeee,.. Tulijisuuza maji na hatmae nikambeba mpaka kitandani, toto lilikua linachuluzika maji tu mpaka kitanda kama kinaloa lakini. Walaaaa, Sikutaka kuchelewa mana dada yobi alikua akilia kwa ajili yangu, Yani nilivyopanda nilianza na unyayo, yani kila ninapopagusa lazima dada yobi atetemeke kihisia, nakuambia huezi amini nilianza kunsuuza vizuri na ulimi wangu, kana kwamba maji ya bafuni hayajafanya vizuri katika mwili wa mrembo huyu, hivyo nauamini sana ulimi wangu kwa kusuuza kila kilicho kisafi,... Dada alikua hatulii, yaani moja hakai mbili hakai, yani alikua mvurugaji wa mashuka... Mfano kama mashuka yanaongea aaaaahhh leo dada yobi angetukanwa sana na hayo mashuka... Huezi amini nilimlamba mpaka nimefikia kwenye kipapa chake, kisafiii, wala sikukiwazia mtoto mie, mana nimekisugua mwenyewe, na licha ya kukisugua, bali dada yobi ni Msafi mpaka kapitiliza,... (Yaani hata hawa watengenezaji wa pafyumu, hebu wamvizie dada yobi akijamba tu wachukue ushuzi wake, kwani huenda ukafaa hata kwa pafyumu) JOKES, basi ulimi wangu haukusita kuishambulia ngome ya yobi japo ilikua ina vimibamiba lakini jeshi la mdomo wangu ni zaidi ya vimibamiba vyake vilivyokua juu ya ngome hio... Dada yobi alianza kuomba msamaha kwa kunishika kichwa...
"uuuuuuuuwwiiiiiiii aaaahhhh uuuhhhnn jjjhhhh uuuuu iiiiii we mtoto mshenzi kweli uliayajulia wapi haya"
Akifanikiwa kutoa sauti lakini huenda ikiwa ni ya mwisho kwake,.. Mtoto wa kiume nilikua nafanya kama nanyonya chungwa vile, miondoko ya yobi ilianza kubadilika kwa hata mipaja yake ilikua ikinibana mara kwa mara.. Huku kiuno cheke kikienda juu chini... Sikuamini macho yangu mana ngome ya dada yobi ilikua maji maji ghafla tu....
"sheby, I'm coming baby... I'm coming iiiiiiiiii"
"jinga wewe.... sasa kwanini usiniambie mapema kama unakuja?"
"nisamee baby wangu,.. Vilikua karibu"
"sasa kwa taarifa yako nazinyonya mpaka ziishe"
"sheby, usifanye hivyo, utaniua mwenzio"
Niliongea hivyo lakini yeye alikua kafumba macho huku akifikicha matiti yake,
Huezi amini pamoja na kuloana kwa sehemu ile kutokana na ny*g* alizotoa mfululizo lakini bado nikawa napang'ang'ania kupakausha... Nilifanya hivyo huku yeye akiwa hajiwezi,...
"sheby, I'm coming again,. please toa mdomo Aaaiiiiiiiiiiiii shit.... Aaahh ahhh ahhh ahh aahhh aahhh"
Alikua akihema juu juu kama katoto kambwa kalikofukuzwa kwa kula nyama za watu... Sasa nikahamia kitofuni, na kuanza kupanyonya... Jamani yobi yobi nilimuonea huruma, mana nguvu zilimuisha na kubaki kama kitoto kilicholala fofofo, Nilipofikia kunyonya kifua chake pamoja na shingo, ikawa zakaria zetu zimekutana, sasa huku namnyonya shingo na yeye anaitengenezea kule chini... Sasa akailengeshea vizuri ila haikuingia akawa ananiambia
"pushi kidogo basi jamani bayby"
Nikawa kama sijasikia kitu mana nilikua bize na shingo yake, huku akilia tu vimguno vidogo vidogo.... Sasa kwakua tulikua karibu, Alichokifanya ni kuniingizia ulimi wa skio, ulionipa hisia za ghafla na kujikuta nimejipushi kwa nguvu,
".... we fara wee... "
"... nini..."
"... umeniumiza ukooo..."
".. Pole bayby.. "
Alikua ana sauti ya kudeka kiasi kwamba ilikua ikinisisimua na yenyewe.....
"... Usijali... Sema imekua tamu ilivyoingia kwa nguvu"
"kumbe umependa afu ulikua unalia"
Sasa hapo ndio ikawa mwanzo wa kazi, dada yobi alikua akirusha tu miguu...
Ilituchukua masaa matatu hadi kumaliza mchezo mzima wa kufanya mapenzi.. Kayobi kalipitiwa na usingizi mzito huku akiwa kaishikilia nanii yangu, yaani mi mwenyewe nimeamka na kuikuta imeshikwa, kana kwamba hakutaka niondoke niende popote pale... Ilikua imeshafika saa 11 alfajiri.. Nikampima imani, nikawa najivuta ili aiachie zakaria yangu, mana alikua kaishikilia mkononi,..
"weee unaenda wapi jamani sheby wangu"
"ahahahaha asa mbona umenishika zakaria yangu"
"staki uondoke mbele yangu......... Sheby mpenzi... Nakupenda sana na sintokaa kukuacha kamwe.....nipo tayari kufa kwa ajili yako, sheby I LOVE YOU SO MUCH MORE THAN LOVE... Yani sijui nikuambie nini mpenzi wangu, embu niambie unataka nini nikufanyie, nipo tayari kufanya lolote juu yako"
"usijali mimi nipo nawe tu siku zote na wala sitaki kitu"
"but sheby wewe ni mwanaume haswa yaani ni zaidi ya mwanaume"
Huezi amini dada yobi alikua akiongea maneno hayo huku akilia kabisa machozi... Ilipofika saa 11 na nusu tuliingia bafuni na kuoga,
"ooohhh shit iv chupi zetu kumbe tuliziacha chini jana"
Aliongea dada yobi huku akiniangalia, na chupi zilikua chini toka jana tena zikiwa nimeloa hazikua zikitamanika, hatukuzifatilia.... Tulioga kisha tukavaa nguo zetu, ilikua yaenda saa 12 sasa,.. Mara simu yangu ikaita kucheki jina alikua ni asnati.. Niliipokea na kumsikiliza
"haloo"
"we sheby jamani uko wapi si tunaskia usingizi"
"ooohhh shit mpo hapa hapo bado"
"ndio, tena sauna keshalala"
"tungojeni sasa hivi apo"
"haya"
Tulishuka katika hoteli hio na kuingia katika gari kisha tukaondoka zetu
"ni nani aliekupigia simu"
"ni asnati"
"anataka nini saaa hizi"
"bado wapo kwenye harusi"
"haaaaaaaa mungu wangu eeee tena nilikua ninewasahau kabisa kabisa, hebu kimbiza gari.... maskini wadogo zangu"
Tulifika hapo harusini kisha dada yobi akaingia ndani... Ghafla akatoka nao kutoka ndani tena akiwa kambeba sauna mana sauna ndio mtoto wa mwisho kwao,... Waliingia katika gari kisha tukaondoka....
Siku hio ilikua ni siku ya Jumatatu kana kwamba hata akina asnati hawatoweza kwenda shule, kutokana na uchovu wa kukesha usiku kucha.. Hivyo kila mtu alipofika kwao alikimbilia kulala tu mana usingizi ulibana sana..... Kila mtu alilala chumbani kwake na siku hio ilikua ni siku ya kuondoka kwa dada yobi lakini hakuondoka... Tukashinda mchana kutwa kila mmoja akiwa mchovu... Na hatmae mpaka usiku unaingia... Mimi binafsi nilikua nimechoka sana kwa ile kazi ya jana,....
Zilipita siku mbili toka harusi iishe.. Leo nikiwa geto dada yobi alikuja na kukaa kitandani, huku akinijulia hali,..
"mambo bayby"
"poa nambie"
"safi za toka juzi"
"nzuri"
Aliuza za toka juzi kumaanisha ike siku ya mchezo, lakini sio kua toka siku ile hatjaonana....
"pole"
"pole na wewe"
"asante"
Dada batuli alikaa vizuri kama vile kuna kitu anataka kuniambia, nami nikaamka vizuri kabisa ili kumsikiliza..
"sheby"
"mmmmhhh"
"kuna kitu naitaji tuongee"
"sawa nakuskia"
"ila utakubali"
"kama ni kizuri nitakubali"
"nataka keshokutwa twende wote Dar es Salaam tukaishi pamoja"
"Whatt"
"kwani kuna tatizo gani"
"hapana"
"sheby mpenzi wangu... Bila wewe sioni haja ya kuishi, yaani muda mfupi tu nimeona umuhimu wako katika maisha yangu"
Yobi alinza kulia kwa uchungu kwakua mimi staki kwenda nae...
"Dada yobi, Dar es Salaam mimi hakunifai, nitaishi kwa kazi gani kule mimi"
"sheby, mi nilijua unakataa kwa kitu cha maana kumbe ni kazi tu"
"ndio na licha ya kazi... Kumbuka mimi umri wangu bado ni mdogo nahitaji kutafuta... Nahitaji kuiinua familia yangu, sasa kama nitakua mtu wa kuruka we ulifikiri itakuaje"
"sheby, please kuusu kazi we ondoa shaka, nitakufanya uwe star huezi amini"
"niwe star kwa lipi, napenda sana kuimba.. Napenda sana kuigiza lakini nitaanzaje.. Na huo ustar unausemea wewe ni upi"
"sikiliza sheby, mimi nina kampuni ya filamu, kwanza hio kampuni nakupa uimiliki wewe, cha pili nataka uwe muigizaji mzuri wa kiume Afrika nzima"
"mmmmhhh Afrika nzima?... Yani kama marehemu kanumba au"
"sasa je? Ila uwe na nia ya kazi ndio utafanikiwa"
"mmmhhh lakini mi sijawahi kuigiza.. Ila napenda sana"
"kwa hilo ondoa shaka.. Yaani hata usipopata kazi, lakini niyahakikishia maisha yako yanakua juuu kuliko muigizaji yeyote yule hapa Tanzania"
"sawa but wazazi wako je"
"aaahh sasa watakung'ang'ania kwani we mtoto wao"
"sawa nimekubali"
"waaaoooo I LOVE YOU SO MUCH BAYBY"
"umefurahi sasa"
"sanaaaaaaa"
"ok poa..... "
Basi mtoto wa kike kama alivyoniahidi kua atanifanya kua star kama marehemu Steven Charles kanumba... Nami nimemkubalia kwa moyo wote nami nikaishi katika jiji la Dar es Salaam mana sijawahi hata kupakanyaga hata siku moja..... Hivyo itakua ndio mara yangu ya kwanza kuenda huko..
Sasa siku hio ilikua ni siku ya kikao cha usiku, baina ya watu wote.. Yaani familia nzima na alioitisha mkutano huo ni dada batuli kana kwamba ndio anataka kuliongelea lile swala la mimi kwenda Dar es Salaam...
Na mimi nilikuepo kwa pembeni nimewategea tu skio langu,...
"ndugu wazazi wangu wapendwa... Leo nimewaita hapa nina ombi moja kwenu japo sio la muhimu sana jwenu.... Aahhh kama mnavyojua kazi zangu mimi ni uigizaji, na katika tasnia yetu hua hatuweki mtu ilimladi mtu bali tunaangalia kipaji cha mtu ili aweze kukava ile nafasi husika, na nimeona kuna nafasi sheby anaiweza...."
Kila mmoja alianza kutoa macho huku mzee mwenyewe akiuliza, kua
"Uu..u..uu...unasemaje we mtoto"
"baba na ndugu zangu wote... Nataka niondoke na sheby, tukaishi Dar es Salaam ili akijue kipaji chake... "
Mara mzee akaamka kwa hasira huku akisema,...
"wewe yobi wewe... Ishia hapo hapo na huko kuigiza kwako, inamaana Tanzania yooote hii umemuona sheby tu kua anaweza kukava huo ujinga wenu,... Sasa sikia ukitaka nikuachie laana ondoka na huyo kijana.. Pumbavu wewe... Nyiiiiaaaau we"
Afu mzee akaondoka zake kuelekea chumbani.... Mara na Asnati na akasema
"yaani dada yobi katka siku ulizo ongea pumba ni leo, yaani kama na mimi nina uwezo wa kukupa laana ningekupa wewe"
Hajakaa vizuri mara na sauna nae... Kaamka huku akisema
"hata mimi nimekuchukia ghafla tu dada angu, na ukitaka tuelewane muache sheby wetu"
Akiendelea kushangaa shangaa, mara na mama nae kaamka na kusema
"Huo upumbavu wako huo, upeleke huko huko dar kwenu, lakini sio sheby, wewe ni mtoto wangu lakini kwa swala hili nitakuchukia milele"
Mama aliondoka zake na kumfata mumewe huko chumbani kwao... Sasa tukabaki wenyewe, huku dada yobi akibubujikwa na machozi,... Alikua akijiuliza mengi sana lakini hakupata jibu..
"iv sheby, umeipa nini familia yangu... Nijibu umewapa nini hawa watu"
"mi sijui dada yobi"
"sheby, niambie ukweli, una mahusiano ya kimapenzi na familia yangu.. Hii sio bure kama sio mahusiano basi kuna kitu umewapa....... Sheby, umetembea na familia yangu... Si kweli ee??"
"kwaio kama nina mahusiano na familia yako... Basi una maanisha hadi baba yako si ndio eeee?"
"No, No, No, basi nisamee mpenzi wangu, huko umefika mbali sana... Basi nisamee kwa maswali yangu... Ila hebu nishauri tufanyeje sasa, mana licha ya wao kukataa lakini sintokuacha hata mara moja"
"we yobnesh? Umesahau baba ako kasemaje"
"hata kama lakini sikuachi sheby wangu"
"kumbuka laana ni mbaya dada yobi"
"sawa nipo tayari kuipata... Lakini wacha niwe na maisha yangu yote.... Hebu nipe njia tufanyeje ili tuondoke... "
Nilipata wazo moja nikaona ngoja nimshauri kama atakubali
"ok... Nina wazo ila utakubaliana naloooo"
"nipo tayari hata kama linagharimu pesa kiasi gani"
"wala haliitaji hata senti tano"
"ok skia sasa.........
HUU NDIO MWISHO WA SIMULIZI IITWAYO "FUNDI CHEREHANI" ILA NI MWISHO KWA JINA TU LAKINI ITAENDELEA.... HIHI LAKINI KWA JINA LINGINE.... SASA HEBU NISHAURI NIBAKI TANGA AU NIENDE DAR ES SALAAM??...
KAZI NI KWAKO KUISUBIRIA SIMULIZI MPYA, ITAKAYOANZA SIKU TATU (3) ZIJAZO... HIVYO USIKAE MBALI MANA STAKI UISAHAU ILIPOISHIA.. NA KAMA HUJA LIKE PAGE YETU FANYA KULIKE ILI USIPITWE.... BOFYA HAPA NCHINI KUCHUNGULIA MPYA MPYA NA NYINGINE NYINGIIII... AHSANTENI WOTE KWA SAPOTI ZENU ZA KOMENT NA LIKES
Itaendelea..... after Tomorrow
KWA SIMULIZI ZAIDI BOFYA HAPO CHINI, KISHA UNGANA NASI KWA KUGONGA LIKE KWA HIO PAGE YETU →→→↓↓↓
https://www.facebook.com/pages/Moon-vision-Enter/571095712946246?ref=hl
USIKOSE HAPO KESHOKUTWA USIKU... MIDA KAMA HIII HAPA
0 Comment to "FUNDI CHEREHANI Sehemu Ya 71 MWISHO"
Post a Comment