Wednesday, November 29, 2017

MWIGIZAJI BALAYA Sehemu Ya 46

MWIGIZAJI BALAYA

{The Prostitute Actor}

Sehemu Ya 46

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

"mimi nitakubali hata ikiwa kwako sawa, iwe gesti sawa, kikubwa tukutane mana ni muda nimeimisi"
Batuli aliongea kwa tabasamu huku akiangalia flaizi ya kijana huyo,....
"sawa"
Ile sheby anataka tu kuondoka,  aliitwa na batuli
"sheby"
"nini tena"
"naomba nikukisi please"
Sheby alimkubalia na batuli alimnyonya kijana huyo ulimi huku akifurahia hali hio, Batuli alijiskia raha sana kwa kitendo cha kukubaliwa

Sheby alipanda gari yake na kuikimbiza mpaka nyumbani kwake, mana hakuna mschana anaempenda kama paula,... Timu timu anashika breki nje ya nyumba yake, na kumuona paula akiwa kakaa koridoni, paula alikuwa akihema hema juu juu huku kama akiumwa vile,...
"we paula una nini"
Kijana sheby alimuuliza paula huku akimshika shika maeneo ya kichwani...
"sheby, siku ile nilikuambia mimi... Lakini hukusikia ona sasa yamenikuta, najuta ni kwanini nisingemsikiliza mamdogo wema"
Paula aliongea huku akilengwa na machozi, na kushindwa cha kufanya na sheby ndio suluhisho la swala lake...
"mbona sikuelewi paula... "
"sheby... Nitamweleza nini mama angu mimi..."
"paula, nyoosha maelezo basi nikusaidie, au tatizo ni pesa... Kama ni pesa njoo nikupe sema tu kiasi unachotaka"
"sheby... Sitaki pesa zako...tatizo ni kwamba Mimi nina.... Nia.... Nia... Niiii... Nanii... Nina... Nina mimba yako"
Sheby alitoa macho ya mshangao, kana kwamba neno hilo hajalipokea kwa moyo wake wote
"Whaaaaaaaaaat???.. Ati nini"

ENDELEA...........

Kijana huyo hakupenda kumuona mpenzi wake anakua katika hali ya kulalama, sheby hakujua kama paula alikuwa  na shida nyingine tofauti na hio pesa aliotaka mumpatia,.. Paula alikuwa analia sana tena haswa haswa anapomfikiria mama yake kwa hali aliokuwa nayo...
"paula, nyoosha maelezo basi nikusaidie, au tatizo ni pesa... Kama ni pesa njoo nikupe sema tu kiasi unachotaka"
"sheby... Sitaki pesa zako...tatizo ni kwamba Mimi nina.... Nia.... Nia... Niiii... Nanii... Nina... Nina mimba yako"
Sheby alitoa macho ya mshangao, kana kwamba neno hilo hajalipokea kwa moyo wake wote
"Whaaaaaaaaaat???.. Ati nini"
"sheby mpenzi wangu? Juzi nilikuambia vaa kondomu hukutaka, nikakuambia basi ikinanii utoe, ukashindwa, ona sasa yamenikuta"
Wakati huo kijana sheby alikuwa kashika kichwa, tena hata hamu na paula au maeneno yake hakuyataka,... Kijana sheby alikaa kwenye sofa kwa kujitupa, Paula alikuwa akilia tu mana yeye bado ni mwanafunzi tena wa kidato cha tatu,...
"sheby,... Mbaya zaidi wiki ijayo naenda shule"
Paula alikuwa akiongea mwenyewe huku kijana huyo akifikiria cha kufanya..
"paula,... Hio mimba tuitoe"
"Whaaaaaat"
"we watakaje kwani"
"sheby... Unajua hapa nilipo nimevaa koti tu, lakini tayari imeshaanza kuonekana sheby"
"heeeee kwani ulipopima uliambiwa ina muda gani"
"sheby... Mimba inaendea wiki ya tatu, sio ya juzi eti"
"mungu wangu weeee, sasa kwanini usiseme toka saa zote hizo"
"sasa si muda ule tuliogombana nikawa nahisi ila sikuwa na uhakika, sasa naona hali imezidi nikaenda kupima"
Kijana sheby alichanganyikiwa sana kwa kuskia hivyo mana wakileta utani, itashindikana hata kutoka,...

"paula hio mimba ni ya kutoa, fanya mpango uende"
"niende au twende"
"heeeee we bwege nini... Kwani naenda kutolewa mimi"
"sheby... Leo unaniita mimi bwege... Yan mimi ni bwege"
"ebwana eee utajua mwenyewe kwanza iyo mimba utakuta sio yangu,... Umalaya wako uo uje uniumize kichwa mimi"
Paula alilegea kwa kauli alizokuwa akiongea kijana huyo,...

Ghafla simu ya kijana huyo inaita,.. Kuangalia mpigaji alikuwa ni batuli
"haloo"
"ee haloo mpenzi, nakusubiri.."
"uko wapi"
"Nipo hapa Patrick Hoteli"
"ok nakuja sasa hivi"
Kijana sheby aliitwa na batuli, mwanamke ambaye ndio kamleta mjini na kumfanya sheby awe na jeuri haswa,..
Sheby alikata simu kisha akanyanyuka,
"sheby unaniacha kweli"
"we nenda hospitali bwana au wataka pesa"
Paula aliteremsha machozi mengi sana kwa kitendo cha sheby kumkana mschana huyo kisa ni mimba,...
"sawa hakuna shida, nashkuru kwa kunipa mimba"
"nenda bwanaaa... "
Mijana sheby alipanda gari yake na kuelekea Patrick Hoteli,...
Ikiwa ni mida ya saa 11 jioni kijana sheby ndio yupo njiani kwenda kwa mpenzi wake,.. Swala la mimba kwa paula alilikataa, na jambo hilo ni hatari sana kwake mana mtoto wa kike huyo bado ni mwanafunzi,

Kijana anafika Patrick hoteli, na kukutana na dada yake,... Hata sheby alikuwa na hamu sana na batuli, walipo onana tu, waliagiza kuku mzima na vikorombwezo kisha wakaenda katika chumba ambacho batuli alikiandaa kwa ajili ya kufurahia tendo la ndoa,
Batuli na sheby walijitupa kitandani huku kila mmoja akimmezea mwenzake mate,.. Mana wana muda sana hawajakitana kimwili, Juice ilianza kupimwa kati yao huku batuli akionekana miguu ikiyumba yumba huku na kule,.. Wanaamshana na kuingia bafuni huko ndipo mambo yalipoanzia, kijana sheby alikuwa na kazi kubwa ya kuitoa chu** ya batuli mana umbo lake afu na vile alivyoloana mmmhh ilikuwa ni kazi kubwa ya kulipwa mshahara mkubwa kwa kazi hio...
Walimaliza kuoga kisha wakaja maeneo ya uwanja wa sunnati lighububu, kama sheby anavyojulikana, mzee wa kupaki magari makubwa katika paking ndogo,

*****




Tukija huku nyumbani kwa kajala, Paula alionekana kutoka mezani na kukimbilia bafuni, mama wa kajala alishangaa kwa kuona mwanae anakimbilia bafuni, mama paula alimfata mwanae ili kwenda kujua nini kilichomfanya akimbie bafuni, alishangaa kumuona mtoto wake anatapika mfululizo kisha akanawa haraka haraka na hakuwa akijua kama mama yake alikuwa akimuona,.. Ile anageuka tu anakutana na mama yake
"una nini wewe"
"mmmhhhh"
"mmmhh nini, nakuuliza una nini"
"mama, mboga za leo zina mafuta sana"
Paula alidanganya kuwa mboga za leo zina mafuta sana hivyo zimempa kichefu chefu na kumfanya atapike, lakini sisi tunajua kuwa mschana huyo ana mimba,
"jamani pole mwanangu.... We asha... Ashaaaa"
Mama wa paula alimuita mfanyakazi wa ndani ambae ndio alipika chakula hicho,
"abeee dada"
"mshenzi wewe,.. Kwanini unapika chakula unajaza mafuta hivyo... Ivi unajua bei ya mafuta wewe... Pumbavu sana hebu nitokee hapa"
"nisamehe dada sirudii tena"
"toka apa mbwa wewe"
Kajala alikuwa na hasira sana kiasi cha kwamba haikuwa kweli kuwa chakula kilikuwa na mafuta, sema kwakuwa tu ni mtoto wake hakutaka apate shida,... Kiukweli kajala anampenda sana mtoto wake,
Sijui itakuwaje siku akijua kuwa paula ana mimba, na wala sio chakula kuwa na mafuta
"kesho twende hospitali mwanangu sawa ee"
"hakuna shida mama nitakunywa dawa tu kama kuna tatizo"

****

Tukirudi huku kwa akina sheby, batuli aliskika sauti yake ikilalama kama katoto ka miaka kadhaa hivi mana Instrumental aliopewa na kijana sheby, ilimfanya batuli atunge wimbo mzuri ulimfanya sheby azidi kuinogesha Beat hio...
"shhhii..... She.... Sheby.... Sheby.... Nimeimisi jamani usinionee huruma"
Ilikuwa ni sauti ya batuli iliokuwa ikimshawishi kijana sheby aendelee kuwasha moto katika naniiii kule kulikoungua shoka kukabaki mpini,....

Masaa mawili mbele walionekana kujitupa kitandani na kila mtu alikuwa hoi, waliingia bafuni na kuogeshana kisha wakatoka ikiwa ni mida ya saa tatu usiku
"sheby naomba unisindikize nyumbani"
"aahhh nenda tu"
"sheby... Iv unajua kuwa hapa nilipo sina hata chu**.... Nikibakwa je"
"umeweka wapi hio nguo"
"aahhh nimeiacha bafuni imeloa"
"aahhhh we nenda tu, utabakwaje na wakati upo ndani ya gari"
"please sheby, nieskoti mpenzi wako"
"mmmhh ok... Tuongozane"
Basi batuli alipanda gari yake na sheby pia alipanda gari yake,.. Kisha wakaongozana mpaka nyumbani kwa batuli,.. Batuli alipiga honi honi na mfanyakazi wake ambae ni jeni alifungua mlango,... Lakini kijana sheby hakuingia ndani... Batuli aliingiza gari yake ndani kisha akarudi huku nje kwa kijana sheby
"sheby ina maana hata ndani huingii"
"hapana,... Nitachelewa kwangu"
"sheby usiniambie hivyo, mana mimi natamani urudi kwangu, nipo tayari unimiliki utakavyo"
"nitakufikiria kama itawezekana mana tayari nimeshazoea maisha ya mtaani"
"spendi uishi mtaani... Nataka urudi kwangu"
"ngoja nifikirie kama wiki hivi"
"wiiikiiii"
"ndio"
"hapana sheby... Penzi lako spendi kulipata kwa midako"
"usijali baby,... Nitarudi"
"nitafrai sana baby"
Basi kijana sheby alipanda gari, lakini batuli alimfata tena na kumpa sheby kitita cha pesa...
"shika hii milioni moja, katumie kwa siku mbili hizi sawa"
"sawa...asante"
Basi kijana sheby anaondoka zake huku akiagana na mpenzi wake,....
Sheby akiwa njiani alianza kufikiria jambo alilonalo paula na kuhisi kile alichomfanyia sio kizuri... Alijihisi ni katili sana kwa kitendo kama kile,...

****

Tukija huku kwa kajala akiwa na familia yake sebuleni wakiangalia tv, tunamuona tena paula anakimbilia bafuni na kutapika,... Mama wa paula alishangaa kwa hali ile ya mwanae kuaa vile,.. Kajala hakumuuliza alitulia tu mpaka paula karudi sebuleni, alipofika sebuleni alimwita asha ambae ni mfanyakazi wao wa ndani,....
"asha.. Please naomba simu yako,.. Coz yakwangu nimeidondosha kule bafuni"
"mmmhhh sawa, ila si kwa leo tu"
"ndio... Kesho naipeleka kwa fundi ntakurudishia simu yako"
"sawa"
Asha alitoa laini zake na kumpatia simu paula,.. Paula anaweka laini zake na kwenda chumbani kwake huku akijiskia vibaya, Kajala alihisi kitu kwa mtoto wake, hivyo alimfuata mapaka huko chumbani kwake.... Paula alishtuka kumuona mama yake amekuja na ni kawaida sana lakini kashtuka kitu ambacho alikishangaa sana kajala,...

Wakati huo sheby nae ndio analitafuta jina la paula ili aweze kumwambia kuwa kesho wakutane ili wakaitoe hiyo mimba,
"paula mwanangu, hebu niambie ukweli, mana sikuelewi wiki hii yote"
"mama najiskia tu vibaya sjui ni maralia"
"maralia gani pau yasiopona hayo"
"usijali mama"
"afu mbona umevaa masweta mengi namna hio na joto hili"
"mama nahisi baridi sana"
Pale pale paula anaumwa na tumbo, afu wakati huo simu ya paula nayo inaita, kana kwamba hatoweza hata kuipokea simu mana tumbo lilikuwa likimuuma sana,...
"paula una nini mwanangu"
Paula alikuwa anajitahidi kuipokea simu lakini alishindwa,..

Wakati huo sheby alikuwa akijisemea kimoyo moyo kuwa
"akipokea tu, namwambia kesho tuwahi mapema tukaitoe hio mimba"
Na simu ilikuwa ikiita huku kwa paula,...
Ghafla mama wa paula ambae ni kajala, anaishika ile simu, uzuri ni kwamba haikuonyesha jina,...
"mama usipokee please"
Paula alijua aliokuwa anapiga sema alishindwa kuipokea kwakua tumbo lilikuwa likimuuma,.....
Kajala anabonyeza kitufe cha kupokelea kisha anaiweka sikioni, wakati huo kijana sheby keshaandaa maneno ya kuongea kwa paula wake ambae alimuuliza masaa machache yaliyopita.....

JE? KAJALA AKISIKIA HAYO MANENO ITAKUWAJE... NA JE VP KUHUSU SHEBY ATAYATAAMKA AU VP... USIKOSE KUIFATILIA...

Itaendelea..... after Tomorrow


KWA LOVE STORY ZAIDI YA HII BOFYA HAPA NCHINI UKAJIPIMIE,... ILA USISAHAU KULIKE PAGE HIO ILI USIPITWE NA VIPYA VIPYA →→→↓↓↓

https://www.facebook.com/pages/Moon-vision-Enter/571095712946246?ref=hl

USIKOSE HAPO KESHOKUTWA... MIDA KAMA HIII HAPA

Share this

0 Comment to "MWIGIZAJI BALAYA Sehemu Ya 46"

Post a Comment