Wednesday, November 29, 2017

MWIGIZAJI BALAYA Sehemu Ya 46

11
MWIGIZAJI BALAYA

{The Prostitute Actor}

Sehemu Ya 46

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

"mimi nitakubali hata ikiwa kwako sawa, iwe gesti sawa, kikubwa tukutane mana ni muda nimeimisi"
Batuli aliongea kwa tabasamu huku akiangalia flaizi ya kijana huyo,....
"sawa"
Ile sheby anataka tu kuondoka,  aliitwa na batuli
"sheby"
"nini tena"
"naomba nikukisi please"
Sheby alimkubalia na batuli alimnyonya kijana huyo ulimi huku akifurahia hali hio, Batuli alijiskia raha sana kwa kitendo cha kukubaliwa

Sheby alipanda gari yake na kuikimbiza mpaka nyumbani kwake, mana hakuna mschana anaempenda kama paula,... Timu timu anashika breki nje ya nyumba yake, na kumuona paula akiwa kakaa koridoni, paula alikuwa akihema hema juu juu huku kama akiumwa vile,...
"we paula una nini"
Kijana sheby alimuuliza paula huku akimshika shika maeneo ya kichwani...
"sheby, siku ile nilikuambia mimi... Lakini hukusikia ona sasa yamenikuta, najuta ni kwanini nisingemsikiliza mamdogo wema"
Paula aliongea huku akilengwa na machozi, na kushindwa cha kufanya na sheby ndio suluhisho la swala lake...
"mbona sikuelewi paula... "
"sheby... Nitamweleza nini mama angu mimi..."
"paula, nyoosha maelezo basi nikusaidie, au tatizo ni pesa... Kama ni pesa njoo nikupe sema tu kiasi unachotaka"
"sheby... Sitaki pesa zako...tatizo ni kwamba Mimi nina.... Nia.... Nia... Niiii... Nanii... Nina... Nina mimba yako"
Sheby alitoa macho ya mshangao, kana kwamba neno hilo hajalipokea kwa moyo wake wote
"Whaaaaaaaaaat???.. Ati nini"

ENDELEA...........

MWIGIZAJI BALAYA Sehemu Ya 24

11
MWIGIZAJI BALAYA

{The Prostitute Actor}

Sehemu Ya 24

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←


"ivi anty sasa nifanyeje nimpate uyu mtoto mana ananisumbua afu dada yake ndio kikwazo sana"
Ilikua ni sauti ya wema akiwa anaonge na rafiki yake Anty Ezekieli,
"kama vp nenda kwa babu"
"mmmhhh hapana mi sipendi mapenzi ya kwa mababu mana dawa zikiisha hua yana zalilisha sana"
"ah ah mimi simaanishi umuendee huyo kijana... Ila namaanisha uende kwa ajili ya huyo kikwazo wake"
"you mean dada yake"
"yes"
"mmmmmhhhhhh"
"hio ndio nja, na bila hivyo hutompata"
Wema alimaliza kukumbuka moja kati ya ushauri alioupewa mchana, Ikiwa ni mida ya saa 8 usiku akiwa kashika simu yake aliotaka kumpigia mtu fulani.... Alijikuta akikumbuka tena neno la mwisho aliloshauriwa na anty kua
"na ukitaka kufanya hivyo hakikisha unampigia babu mida ya saa 8 na nusu usiku (2:30), na ikipita na nusu basi haitowezekena tena hadi siku nyingine muda kama huo"
Wema alimaliza kukumbuka kisha akaangalia saa yake iliokua ukutani na kugundua kua muda huo, ulikua ni muda wa saa 2:29 (saa nane na dakika 29) yaani bado dakika moja tu ili aweze kupiga simu kwa babu....
Wema Alikua makini sana na ile saa kwa kuisubiri dakika hio itime.... Na ni kweli ilivyotimia tu saa nane na nusu usiku, alibofya simu yake kisha akaiweka sikioni, na simu ilikua ikiita usiku huo... Sekunde chache mbele simu inapokelewa na dada wema anaanza kuongea au kunuia maneno kwa kutumia simu....

ENDELEA.............

MWIGIZAJI BALAYA Sehemu Ya 15

11
MWIGIZAJI BALAYA

{The Prostitute Actor}

Sehemu Ya 15

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

dakika mbili mbele niliskia naitwa huko chumbani kwa dada yobi, Nilienda kumsikiliza dada wema ananiitia nini, nilipofika nilimkuta kavaa taulo tuu, afu ananiambia nimpe sabuni, huko bafuni, si unajua milango ya alminiamu ilivyo kwa mbaali, nilikua naogopa na kuona aibu, nilichukua sabuni ya kuogea, sasa nikawa nampa huku nikiangalia pembeni, mara katoka kabisa bafuni vile vile na taulo lake,
"ivi wewe nikuulize kitu"
Nilitikisa kichwa kuashiria sitaki na huku nilikua bado nimeangalia pembeni, yaani sikutaka kumuangalia.
"eti sheby, ivi utaweza kuigiza kweli wewe"
"kwani ni lazima tuigize na mataulo"
"sio lazima ila kuna pati utakuta mkeo aba taulo, ina maana utaangalia pembeni katikati ya muvi"
"nitaangalia ndio"
"mjinga wewe, hebu nipe sabuni uko, mtoto wa kiume mno unaogooopa, au unahisi mi ni dada yako eee"
"chukua sabuni niondoke"
Mara ghafla nikaliona taulo limerushwa mbele yangu, Na ndio taulo aliokua kalivaa, sasa kama ndio hili je yeye atakua kabakiwa na nini,

ENDELEA......

MWIGIZAJI BALAYA Sehemu Ya 5

11
MWIGIZAJI BALAYA

{The Prostitute Actor}

Sehemu Ya 5

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

Sasa nikiwa namalizia kuvua vest Ghafla jeni akawa ananiangaliaaaa bila kunipatia jibu,
"mbona unaniangalia sana"
"mmmhh samaani kaka"
Sasa sikua na nguo za kubadiri, mana nguo mpya bado zipo kwenye gari, hivyo niliogopa kumsumbua dada yobi ili niweze kufungua gari...  Mana ufunguo anao yeye,
"jeni, vp huna hata ka suruali jamani"
"ninayo twende ukachukue"
Tulitoka hapo nje na kuingia moja kwa moja chumbani kwa jeni, akanipa suruali moja hivi ya jinsi, ila umbo lake lilikua kubwa kiasi, nilivaa pamoja na koti lake, sasa ile kugeuka tu nyuma hivi, nilimkuta jeni kaitoa ile kanga na kubaki na chupi tu, tena na yenyewe ilikua imeloa.. 
"nini ivo jeni jamani"
"jamani kaka nabadili nguo angalia ukoo"
Nikaona kuliko niangalie pembeni bora nitoke kabisa, hivyo nikawa nauelekea mlango ulipo, sasa ile nafungua tu nikaskia naitwa
"we mkaka"
"mmmnh jeni wasemaje"
"inamaana husikii baridi au"
"naskia"
"sasa unaenda wapi, mi pia naskia baridi"

ENDELEA.........

MWIGIZAJI BALAYA Sehemu Ya 1

11
MWIGIZAJI BALAYA

{The Prostitute Actor}

Sehemu Ya 1

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

Sasa siku hio ilikua ni siku ya kikao cha usiku, baina ya watu wote.. Yaani familia nzima na alioitisha mkutano huo ni dada batuli kana kwamba ndio anataka kuliongelea lile swala la mimi kwenda Dar es Salaam...
Na mimi nilikuepo kwa pembeni nimewategea tu skio langu,...
"ndugu wazazi wangu wapendwa... Leo nimewaita hapa nina ombi moja kwenu japo sio la muhimu sana jwenu....  Aahhh kama mnavyojua kazi zangu mimi ni uigizaji, na katika tasnia yetu hua hatuweki mtu ilimladi mtu bali tunaangalia kipaji cha mtu ili aweze kukava ile nafasi husika, na nimeona kuna nafasi sheby anaiweza...."

FUNDI CHEREHANI Sehemu Ya 71 MWISHO

11
FUNDI CHEREHANI

KIJAKAZI WA KIUME

Sehemu Ya 71....(.29.) MWISHO

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←
"staki"
"nipo chini ya miguu yako sheby naomba nivue chupi"
Yaani dada yobi analia kabisa kisa nimekataa asiivue hio nguo yake,.. Mwisho nikamuambia aivue mana akilia ndio anazidi kua mzuri mpaka nachanganyikiwa juu yake,...  Dada yobi alijaaliwa hipsi na mapaja makubwa kiasikwamba hata chupi yenyewe ilikua ikimshinda kuvua, tena na vile ilivyoloa, aiseee ndio alikua hawezi kabisa...  Alijikuta akiniajiri kazi hio nami nikaifanya vyema kabisa, yobi au yobinesh au batuli, alikaa mkao ulionifanya nikione kipapa chake live bila chenga,...

ENDELEA..........

FUNDI CHEREHANI Sehemu Ya 1

11
FUNDI CHEREHANI

Sehemu Ya 1

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Ilipoishia Jana →↓↓


JAMANI NDUGU WASOMAJI WA STORY ZANGU,.... STORY HII YA FUNDI CHEREHANI, NI STORY ILIYO TOKANA NA STORY ILIOPITA... IITWAYO SECONDARY SCHOOL NA NADHALI HILO CHOMBEZO WENGI MLILISOMA VIZURI NA PIA NATUMAINI MTAKUA MUMELIMALIZA MPAKA MWISHO.....

ILA KWA WEWE AMBAE HUKUISOMA SECONDARY SCHOOL, BASI NAKUAMBIA KUA HILI CHOMBEZO LA FUNDI CHEREHANI HUTOLIELEWA KABISA, MAANA MAUDHUI YOTE YALIOPO HUMU YAMETOKANA NA HIO STORY AU CHOMBEZO LA SECONDARY SCHOOL....  HIVYO KWA USHAURI WANGU KWAKO NINGEONBA UKAIANZE KUISOMA HIO KISHA UJE KUISOMA NA HII...  MAANA NI SAWA NA KUANGALIA MUVI PART 2 WAKATI PART ONE HUJAIONA.....

SECONDARY SCHOOL Sehemu Ya 1

11
SECONDARY SCHOOL

Sehemu Ya 1

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Inapoanzia Rasmiiii

STORY HII INAITWA SECONDARY SCHOOL AU KWA KISWAHILI NI
( SHULE YA UPILI ).....
KWAHIO PIA WAWEZA KUIITA HIVYO TU BASI

ONE DAY YES Sehemu Ya 1

11
ONE DAY YES

Sehemu Ya 1

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Inapoanziaaaa→↓↓↓

ONE DAY YES ni msemo unaotafsiriwa kua IPO SIKU YATAKWISHA kwa maaa ya kwamba mtu huyo anaesema hivyo yupo katika hali ngumu ya kimaisha au misuko suko ya hapa na pale.
Msemo huo ni msemo unaotaamkwa na mtu mwenye shida ya kimaisha hivyo kila siku lazima mtu huyo aseme ONE DAY YES kwa maana ya kwamba IPO SIKU NA YEYE ATATUSUA kama wenzake,

Monday, November 27, 2017

DEREVA TOYO Sehemu Ya 1

11
DEREVA TOYO

Sehemu Ya  1

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No.... +255714419487 WhatsApp

Inapoanzia Rasmi..... Anza Sasa

DEREVA TOYO AU KWA KINGEREZA TUNAITA ( TOYO DRIVER )
DEREVA TOYO HUYU NI KIJANA MDOGO ALIEJIAJIRI KUTOKANA NA USAFIRI HUO ( TOYO ) MBALI NA UDEREVA WA HIO TOYO... BADO ANA AJIRA YAKE YA MKONONI..... NI AJIRA YA UPIGAJI PICHA... NA HII ALIANZA NAYO KABLA YA TOYO KIJANA HUYU ALILAZIMIKA KUWA DEREVA TOYO KWA SABABU ZA KIMAISHA KUMUENDEA KOMBO... HIVYO AKAONA TOYO HUENDA IKAMPA CHAKULA CHA KILA SIKU... LAKINI TOYO HIO HIO NDIO ILIOKUA IKIMPELEKA PABAYA.... KWANI KIJANA HUYO ALIKUA NI KIJANA WA TOFAUTI SANA..,..

MLINZI WA GETI Sehemu Ya 1

11
MLINZI WA GETI

Sehemu Ya 1

Mtunzi.... MoonBoy

Simu No... +255714419487 WhatsApp

Ilikua ni saa 5 asubu tarehe 11/2/1995 nikiwa bado ni mtoto mdogo nisiojua hili wala lile, Nilikua na umri uiozidi miaka mitatu hivi, na siku hio nilikua natoka shuleni yaani Nursary school ( shule za awali) ( vidudu ) Siku hio nilikua na hasira sana maana mwalimu aliniadhibu kwa kukosa somo lake. Sasa nikiwa njiani narudi nyumbani nilikutana na gari ya baba angu tena akiwa spidi sana. Nami siku hio nilikua na kabaiskeli kadogo ( vile vya kitoto ) nilishtukia breki ikishikwa mbele yangu
"twende haraka"
aliniambia kwa sauti kubwa tena kwa kuyatoa macho kwa kuonyesha siku hio hayupo vizuri kuliko siku zote.

Sunday, November 26, 2017

JAMANI ANKO Sehemu Ya 1

11
JAMANI ANKO

Sehemu Ya 1

MTUNZI: George Iron Mosenya

SIMU:0655727325






Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi.
Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea.
Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima nimweleze ukweli na ikibidi siku hiyo hiyo yatimie ninayoyawaza kila kukicha.
Madam Jesca alikuwa ni mwalimu aliyekuwa akitufundisha kwa muda tu baada ya kuwa amemaliza kidato cha sita. Wakati huo sisi tulikuwa kidato cha nne.
Somo alilokuwa akitufundisha ni Kiswahili.