Sunday, May 27, 2018

Monday, May 21, 2018

Tuesday, May 15, 2018

Sunday, May 13, 2018

Wednesday, May 9, 2018

WANAUME TU:- CHANZO NA TIBA YA KUFIKA KILELENI MAPEMA

11

CHANZO CHA MWANAUME KUFIKA KILELENI MAPEMA, NA TIBA YAKE

Matatizo ya kijinsia ni mengi  baadhi tunaweza kuyakabili kwa urahisi, na kuna mengine yanahitaji utaalamu maalumu kuyapatia tiba. Wakati mwingine maradhi husika huwa na taathira kutokana na mtu…. Na  tutazungumzia moja ya maradhi maarufu ya kijinsia… tutazungumzia tatizo la wanaume kuwahi kumwaga(PREMATURE EJACULATION).

Saturday, May 5, 2018

Sunday, April 29, 2018

ANGALIZO KWA MABINTI WENYE TABIA HIZI

11
KATIKA MAKALA YALIOPITA TULIZUNGUMZIA MASWALA YA AINA KUMI ZA NDOA TANZANIA...leo nakujia na makala nyingine iitwayo

WASICHA WANAO YAFANYA HAYA, JE MWISHO WAO NI NINI?? 


ANGALIZO KWA MABINTI WENYE TABIA HIZI

Na Dr Voice Mgosi
+255714419487 WhatsApp

Mimi sikukatazi kutumia mwili wako kama kitega uchumi.

Friday, April 27, 2018

11
KATIKA MAKALA ILIYOPITA TULIZUNGUMZIA MASWALA YA AINA NNE YA VYAKULA VINAVYO PUNGUZA UZITO... leo nimekuja na makala hii iitwayo 

Sunday, April 22, 2018

AINA KUMI ZA NDOA, KWA TANZANIA

11

KATIKA MAKALA YALIOPITA TULIZUNGUMZIA MASWALA YA AINA TATU ZA USINGIZI KATIKA IMANI YA KIISLAMU... leo nakujia na makala nyingine iitwayo

HIZI NDIZO AINA KUMI ZA NDOA, KWA TANZANIA

Thursday, April 19, 2018

Sunday, April 15, 2018

Monday, April 9, 2018

Monday, March 26, 2018

Thursday, March 22, 2018

AINA 10 ZA WANAUME KERO NDANI YA NDOA ZAO

11


KATIKA MAKALA YALIOPITA TULIZUNGUMZIA MASWALA YA ADABU YA NDOA KATIKA SUNNAH ILIYOTAKASIKA Ikiwa ni sehemu ya kwanza, kumradhi kwamba sehemu ya pili hatujafanikiwa kuitunga mapema mno.... Hivyo sinto waacha bure leo Nimekuja na makala hii

HIZI NDIO KERO ZA WANAUME NDANI YA NDOA

Tuesday, February 13, 2018

SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 12

11
SEKRETARI WA KIUME

Sehemu Ya 12

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/

Ilipoishia Jana...........

MWANAUME MASHINE

"kwani kuna nini manangu"
"mpigie sasa hivi utampoteza mwanao yupo kwenye hatari"
Aliongea nailah tena alikuwa akilia sana, yaani roho inamuuma na anajuta kumfukuza kazi... Mana kaja kuingia pabaya...
"sawa hebu kata simu"
Sasa mama JAFARI nae presha kwa kuskia mtoto wake yupo kwenye hatari....
"boy, njoo uchukue palipo yako"
Shantel alimuita jafari kule kwenye gari,... Madam nailah haamini kama jafari anaingia kwenye gari, sasa madam anajua kuwa jafari ndio anaingia wanaondoka.... Nailah alishuka kwenye gari ili kwenda kumzuia jafari asiondoke... Lakini sasa ile anavuka tu barabara,.. Ghafla kuna gari iliachiwa huko na spidi kali,.na madam alikuwa anavuka barabara, Maskini madam alibaki tu kuduaa hapo barabarani, kukimbia kashindwa, kabaki kusimama katikati ya barabara.... Iliskika tu sauti ya kilio
"uuuuuuwiiiiiiiiiii"

ENDELEA......

SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 11

11
SEKRETARI WA KIUME

Sehemu Ya 11

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/

Ilipoishia Jana...........

MWANAUME MASHINE

"ooohhh yeee, hhhooo my god... Yes baby... Hhhh... Uuuuuuuuuwiiiiiiii... Yesuuuu... Iiii... Aaaiiiiiiii"
Jafari alishtuka kuskia hizo sauti... Na alikua ni madam ndio kazitoa sauti hizo... Sasa Jafari yeye hajui kiwa madam aliskia hizo sauti jana alipopiga simu, ikajipokea wenyewe..
Saaa hata Jafari anashangaa sauti hizo Veep... Sasa Jafari kwa wenge akajikuta anasalimia, salamu ambayo madam haitaki
"heeeeeee Shikamoo madam"

"kamsalimie mama ako kama hio salamu inashibisha....... Yaani unaacha kazi yangu Unakwenda kufanya... Kufa... Kufa...kufanya....kufanya mapenzi.... Hivi unajua umeitia kampuni hasara kiasi gani kwa masaa yako mawili ulio ondoka hapa... Kwa ulivyo masikini huezi lipa milioni kumi wewe.... Sasa kuanzia leo, sitaki kuiona sura yako hapa... Mlango ulio ingilia naomba uutumie na kutoka..... Nafumba macho nikifumbua nisikuone hapa"

ENDELEA........

Sunday, February 11, 2018

MUUZA CHIPSI Sehemu Ya 1

11
MUUZA CHIPSI

(MKE WA KAKA)

Sehemu Ya 1

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/

INAPOANZIA RASMIIII

Jamani Simulizi hii, sio moja, bali zipo simulizi mbili ndani ya moja... Kuna simulizi yangu moja iliitwa MKE WA KAKA hio simulizi inaendana na simulizi hii ya MUUZA CHIPSI, hivyo sikutaka simulizi zangu ziwe zinajirudia, hivyo nimeiweka sehemu moja zote mbili, mana stori za simulizi hizi zinaenda.. Hivyo ukisoma jua kua unasoma simulizi mbili ndani ya moja... Ila simulizi halisi ni MUUZA CHIPSI ikifuatiwa na MKE WA KAKA ambayo nayo ipo humu humu ndani,.   Na utaijua hapo itakapoanzia rasmi lakini mwanzo wa zote ndio, lakini pia MKE WA KAKA ina mwanzo wake huko mbele, hivyo nayo inaanzia hapa hapa....... Sasa ole wako uikose staki maswali mengi mana umekosa uhondo mwenyewe... Hivyo msije mkashangaa mke wa kaka kawa MUUZA CHIPSI....

Sunday, January 21, 2018

Friday, January 19, 2018

Thursday, January 18, 2018

Monday, January 15, 2018