Sunday, April 29, 2018

ANGALIZO KWA MABINTI WENYE TABIA HIZI

KATIKA MAKALA YALIOPITA TULIZUNGUMZIA MASWALA YA AINA KUMI ZA NDOA TANZANIA...leo nakujia na makala nyingine iitwayo

WASICHA WANAO YAFANYA HAYA, JE MWISHO WAO NI NINI?? 


ANGALIZO KWA MABINTI WENYE TABIA HIZI

Na Dr Voice Mgosi
+255714419487 WhatsApp

Mimi sikukatazi kutumia mwili wako kama kitega uchumi.



Sikukatazi kulala na wanaume kwaajili ya pesa,mavazi,vipodoxi na hata magari

Lala na kila mwanaume unayemwona mbele yako.

Endelea tu  kubadili wanaume kama hereni leo unavaa nyekundu kesho pinki.

Endelea kuweka rekodi ya kulala kwenye mahotel mengi na wanaume tofauti tofauti.....Oriental hotel, sheraton hotel n.k

Endelea kuwapanga tu mpaka idadi ya wanaume uliolala nao iwe kubwa kuliko hata umri wako mfano una miaka 25 na umeshalala na wanaume 30 tofauti tofauti.
.
.
Endelea tu kuwa mama huruma mtaani na kuwachuna wanaume kwasababu tu unataka kwenda na wakati:
Unataka kutumia simu ya kisasa:
Unataka kuseti nywele za bei kubwa.
Unataka kuvaa nguo za bei ghali, na Kutembelea magari. 
we wachune tu.

Na zile kauli  zako za dharau pia usiziache "Its
none of ur business"
Ni kweli hainihusu na wala sina mpango na hayo unayofanya.
.
.
Ila utakapoanza kuona inanihusu ni pale utakapoanza kufungua mdomo wako na kusema unatamani mwanaume wa kukuoao akupende hivo hivo ulivyo
Hususani pale utakapokuwa umri wako umeenda na umeshapoteza kila kitu hujabakiwa na chochote cha kusema utaringia

Hapa ndo utaanza kutamani mwanaume yeyote akutongoze uende ukakatalie geto ili tu upate kuolewa.

Pamoja na yote kuolewa ndo utaolewa ila Mungu lazima atakupa mwanaume wa kuendana na ww mwanaume ambaye nae atakuwa alishafanya matukio ya ajabu na yasiyo simulika siku zake za nyuma 
Na huyo ndo atakuwa mume wako.
.
.
Baada ya miaka miwili tu ya ndoa yako utakuwa unaanza sasa kujipashapasha kwa kwenda makanisani maana yawezekana ulishapoteza kizazi chako katika harakati za kutoa mimba mfululizo ili tu kuendelea kuufaidi ujana.

Wakati huu ndo utakapoanza kuwatafuta wachungaji na kuhamahama makanisa leo kwa mchungaji huyu kesho kwa yule mara leo kanisa hili kesho lile
Lengo tu kuutafuta muujiza uweze kupata mtoto.
Unasahau kuwa ulishatoa mimba nyingi na ulishatupa watoto kibao.

Utalia sana lakini ndio kumeshakucha, hivyo kunja shuka ukajaze choo cha watu.... 

Nategemea hapa wakunichukia watakuwepo wengi, maana ukweli unauma.

AHSANTE SANA NDUGU MSOMAJI KWA KUJIFUNZA NA MAKALA HII

Na Dr Voice Mgosi
+255714419487 WhatsApp 

KAMA WEWE NI MPENZI WA LOVE STORY, MAMBO YA CHOMBEZO ZA HUBA, MAHABA, MKATABA, MARAHABAAAA, NA HAPA NDIO KWAO

UNAPITWAJE NA UTAMU HUU? 

ORODHA YA STORI ZANGU ZOTE HII HAPA, NI BUUURE BONYEZA HAPA

www.alwayshere5.blogspot.com/search/label/CHOMBEZO

(1).KIJAKAZI WA KIUME

(2).MLINZI WA GETI

(3).DEREVA TOYO

(4).MTOTO WA HAYATI

(5).ONE DAY YES

(6).SECONDARY SCHOOL

(7).FUNDI CHEREHANI

(8).MWIGIZAJI BALAYA

(9).THE DOM

(10).THE ISLAMIC WIFE

(11).MKE JEURI

(12).YOUNG PASTOR

HIZO ZOTE, INGIA GOOGLE TAFUTA ULIO IPENDA, AU BONYEZA HAPA CHINI, UKAZISOME ZOTE, BUUURE

www.alwayshere5.blogspot.com/search/label/CHOMBEZO

AU.... Njoo WhatsApp Ujipimie....

Utazipata Zote Mpaka Mwisho Kwa Simu No: +255714419487 WhatsApp, Au, Like Page Yetu Ya Facebook Iitwayo CHOMBEZO MEDIA

tAfBoy {.Tanzania's Frugal Boy..}

Share this

0 Comment to "ANGALIZO KWA MABINTI WENYE TABIA HIZI"

Post a Comment