Popular Posts
-
FUNDI CHEREHANI KIJAKAZI WA KIUME Sehemu Ya 71....(.29.) MWISHO Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Ilipoishia J...
-
JAMANI ANKO Sehemu Ya 1 MTUNZI: George Iron Mosenya SIMU:0655727325 Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze k...
-
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 12 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-57109...
Categories
Monday, March 26, 2018
Thursday, March 22, 2018
Tuesday, February 13, 2018
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 12
11
SEKRETARI WA KIUME
Sehemu Ya 12
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
Ilipoishia Jana...........
MWANAUME MASHINE
"kwani kuna nini manangu"
"mpigie sasa hivi utampoteza mwanao yupo kwenye hatari"
Aliongea nailah tena alikuwa akilia sana, yaani roho inamuuma na anajuta kumfukuza kazi... Mana kaja kuingia pabaya...
"sawa hebu kata simu"
Sasa mama JAFARI nae presha kwa kuskia mtoto wake yupo kwenye hatari....
"boy, njoo uchukue palipo yako"
Shantel alimuita jafari kule kwenye gari,... Madam nailah haamini kama jafari anaingia kwenye gari, sasa madam anajua kuwa jafari ndio anaingia wanaondoka.... Nailah alishuka kwenye gari ili kwenda kumzuia jafari asiondoke... Lakini sasa ile anavuka tu barabara,.. Ghafla kuna gari iliachiwa huko na spidi kali,.na madam alikuwa anavuka barabara, Maskini madam alibaki tu kuduaa hapo barabarani, kukimbia kashindwa, kabaki kusimama katikati ya barabara.... Iliskika tu sauti ya kilio
"uuuuuuwiiiiiiiiiii"
ENDELEA......
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 11
11
SEKRETARI WA KIUME
Sehemu Ya 11
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
Ilipoishia Jana...........
MWANAUME MASHINE
"ooohhh yeee, hhhooo my god... Yes baby... Hhhh... Uuuuuuuuuwiiiiiiii... Yesuuuu... Iiii... Aaaiiiiiiii"
Jafari alishtuka kuskia hizo sauti... Na alikua ni madam ndio kazitoa sauti hizo... Sasa Jafari yeye hajui kiwa madam aliskia hizo sauti jana alipopiga simu, ikajipokea wenyewe..
Saaa hata Jafari anashangaa sauti hizo Veep... Sasa Jafari kwa wenge akajikuta anasalimia, salamu ambayo madam haitaki
"heeeeeee Shikamoo madam"
"kamsalimie mama ako kama hio salamu inashibisha....... Yaani unaacha kazi yangu Unakwenda kufanya... Kufa... Kufa...kufanya....kufanya mapenzi.... Hivi unajua umeitia kampuni hasara kiasi gani kwa masaa yako mawili ulio ondoka hapa... Kwa ulivyo masikini huezi lipa milioni kumi wewe.... Sasa kuanzia leo, sitaki kuiona sura yako hapa... Mlango ulio ingilia naomba uutumie na kutoka..... Nafumba macho nikifumbua nisikuone hapa"
ENDELEA........
Sunday, February 11, 2018
MUUZA CHIPSI Sehemu Ya 1
11
MUUZA CHIPSI
(MKE WA KAKA)
Sehemu Ya 1
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
INAPOANZIA RASMIIII
Jamani Simulizi hii, sio moja, bali zipo simulizi mbili ndani ya moja... Kuna simulizi yangu moja iliitwa MKE WA KAKA hio simulizi inaendana na simulizi hii ya MUUZA CHIPSI, hivyo sikutaka simulizi zangu ziwe zinajirudia, hivyo nimeiweka sehemu moja zote mbili, mana stori za simulizi hizi zinaenda.. Hivyo ukisoma jua kua unasoma simulizi mbili ndani ya moja... Ila simulizi halisi ni MUUZA CHIPSI ikifuatiwa na MKE WA KAKA ambayo nayo ipo humu humu ndani,. Na utaijua hapo itakapoanzia rasmi lakini mwanzo wa zote ndio, lakini pia MKE WA KAKA ina mwanzo wake huko mbele, hivyo nayo inaanzia hapa hapa....... Sasa ole wako uikose staki maswali mengi mana umekosa uhondo mwenyewe... Hivyo msije mkashangaa mke wa kaka kawa MUUZA CHIPSI....

Sunday, January 21, 2018
Subscribe to:
Posts (Atom)
Post
-
JAMANI ANKO Sehemu Ya 1 MTUNZI: George Iron Mosenya SIMU:0655727325 Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze k...
-
FUNDI CHEREHANI KIJAKAZI WA KIUME Sehemu Ya 71....(.29.) MWISHO Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Ilipoishia J...
-
MLINZI WA GETI Sehemu Ya 1 Mtunzi.... MoonBoy Simu No... +255714419487 WhatsApp Ilikua ni saa 5 asubu tarehe 11/2/1995 nikiwa bado...
-
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 12 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-57109...
-
MUUZA CHIPSI (MKE WA KAKA) Sehemu Ya 1 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246...
-
FUNDI CHEREHANI Sehemu Ya 1 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Ilipoishia Jana →↓↓ JAMANI NDUGU WASOMAJI...
-
SEKRETARI WA KIUME Sehemu Ya 11 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-57109...
-
KIJAKAZI WA KIUME 1 sehemu ya 1 MTUNZI: MoonBoy SIMU +255714419487 whatsapp
-
SECONDARY SCHOOL Sehemu Ya 1 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Inapoanzia Rasmiiii STORY HII INAITWA SECONDARY...