Monday, November 27, 2017

MLINZI WA GETI Sehemu Ya 1

11
MLINZI WA GETI

Sehemu Ya 1

Mtunzi.... MoonBoy

Simu No... +255714419487 WhatsApp

Ilikua ni saa 5 asubu tarehe 11/2/1995 nikiwa bado ni mtoto mdogo nisiojua hili wala lile, Nilikua na umri uiozidi miaka mitatu hivi, na siku hio nilikua natoka shuleni yaani Nursary school ( shule za awali) ( vidudu ) Siku hio nilikua na hasira sana maana mwalimu aliniadhibu kwa kukosa somo lake. Sasa nikiwa njiani narudi nyumbani nilikutana na gari ya baba angu tena akiwa spidi sana. Nami siku hio nilikua na kabaiskeli kadogo ( vile vya kitoto ) nilishtukia breki ikishikwa mbele yangu
"twende haraka"
aliniambia kwa sauti kubwa tena kwa kuyatoa macho kwa kuonyesha siku hio hayupo vizuri kuliko siku zote.

Sunday, November 26, 2017

JAMANI ANKO Sehemu Ya 1

11
JAMANI ANKO

Sehemu Ya 1

MTUNZI: George Iron Mosenya

SIMU:0655727325






Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi.
Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea.
Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima nimweleze ukweli na ikibidi siku hiyo hiyo yatimie ninayoyawaza kila kukicha.
Madam Jesca alikuwa ni mwalimu aliyekuwa akitufundisha kwa muda tu baada ya kuwa amemaliza kidato cha sita. Wakati huo sisi tulikuwa kidato cha nne.
Somo alilokuwa akitufundisha ni Kiswahili.

Tuesday, March 7, 2017

Thursday, November 3, 2016

1663 officers disciplined in connection with ghost workers

11
THE government has taken disciplinary measures against some 1663 in connection with 19,629 ghost workers that were siphoning over Sh 19.7 bn/- per month, the parliament heard yesterday. Minister of State in the President's Office-Public Service Management and Good Governance, Angellah Kairuki, told legislators here that there are those who have cases in court, required to pay fine and refund the money lost through ghost workers under them.